У нас вы можете посмотреть бесплатно SAMAWI || MASWA YOUTH CHOIR (Official Video) 4K UHD или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
UTANGULIZI Katika dunia mpya, ambamo haki hukaa, Mungu ataweka tayari makao ya milele waliokombolewa na mazingira makamilifu kwa maisha ya milele, upendo, furaha na kujifunza mbele zake. Kwa hapa Mungu mwenyewe atakaa pamoja na watu wake, na taabu na mauti vitakuwa vimepita. KUHUSU PAMBANO KUU Pambano kuu litakuwa limemalizika, na dhambi haitakuwepo tena. Vitu vyote vyenye uhai na visivyo na uhai vitatangaza kwamba Mungu ni pendo, naye atatawala milele. HISTORIA YA JIJI LILE Mji huu umetegemezwa kwa vito aina 12, yaspi, yakuti samawi, kalkedoni, zumaridi, sardoniki, akiki, kriolitho, zabarajadi, yakuti ya manjano, krisopraso, hiakinto na amethisto. Mji umejengwa kwa dhahabu safi. Malango 12 yataufanya mji kuingilika. Vipimo vya mji marefu, mapana na kwenda juu kwake ni sawasawa, kama maili 1,500. WITO Tamani kuwepo pale ambapo mambo yote yatakuwa ni mapya. SONG CREDITS : Song : SAMAWI Artist : Maswa Youth Choir Choir Master: Rayson Mshana (Mr. PiAno) Song Composer : Pro Denoo Audio : Sarafu Studio ( +255 626 436 010 ) Mixing & Mastering : Pro Denoo ( +255 626 436 010 ) Video Director : Mr. RJ ( +255 769 672 995 ) Email : maswayouthchoir@gmail.com Contact : +255 658 942 439 | +255 762 490 211 | +255 765 774 766