 
                                У нас вы можете посмотреть бесплатно Tanzania yapiga kura huku ghasia zikishuhudiwa. Katika Dira ya Dunia TV или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
                        Если кнопки скачивания не
                            загрузились
                            НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
                        
                        Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
                        страницы. 
                        Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
                    
Inspekta Jenerali wa Polisi nchini Tanzania Camillius Wambura ametangaza amri ya kutotoka nje jijini humo kuanzia leo saa kumi na mbili jioni. Amri hiyo imefuatia siku ya uchaguzi mkuu iliyokumbwa na maandamano yaliosababisha vurugu katika maeneo kadhaa nchini humo. Watu kadhaa wamejeruhiwa katika mji mkuu wa kibiashara, Dar es Salaam, ambapo polisi walirusha mabomu ya kutoa machozi kuwatawanya waandamanaji waliofunga barabara na kuwasha moto. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili