У нас вы можете посмотреть бесплатно SAFARI YA MWISHO YA CHIEF HASSAN SEHEMU YA 10 | MKE WANGU NINA KWENDA KUFA FULL SWAHILI MOVIES 2026 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
SAFARI YA MWISHO YA CHIEF HASSAN SEHEMU YA 10 👉 English subtitles available 🇬🇧 Please turn ON CC (⚙️) Baada ya Jabiri kukutana na mzee wa ajabu pamoja na ndege mkubwa kwenye lile daraja lililogawa Ufalme wa Robert na upande wa pili kuelekea milimani, alilazimika kufanya uamuzi mgumu Ili kuokoa maisha ya Chief Hassan Jabiri aliacha farasi wake na kupanda ndege mkubwa pamoja na mzee wakianza safari ya haraka kuelekea milimani Wakati huo huo kule milimani, hali ya Chief Hassan ilikuwa mbaya sana Dawa aliyokuwa amepewa na askari wa Ufalme wa Robert haikuwa ya kawaida. Ilikuwa inamtafuna polepole ikimdhoofisha mwili wake na kumfanya apoteze nguvu taratibu Katika hali hiyo ya maumivu, Chief Hassan alimuita mke wake na kumwambia maneno ya mwisho yaliyojaa huzuni, siri na ukweli mzito kuhusu maisha ya Jabiri Alimwacha mke wake na jukumu zito kumlinda Jabiri na kumwambia ukweli siku itakapofika Kabla pumzi haijamwacha Chief Hassan alieleza ndoto nzito aliyoiota kuhusu mustakabali wa Jabiri upanga wa kifalme na hatima ya mataifa mengi Muda mfupi baadaye Jabiri mzee na ndege walifika kwa haraka Jabiri alimkuta baba yake akiwa hoi hana nguvu hata ya kuongea Licha ya kumpa dawa, hali ya Chief Hassan haikubadilika. Hapo ndipo mzee alipotambua kuwa muda haukuwa upande wao tena Lakini swali kubwa linabak Je nini kitatokea Jabiri akigundua kuwa Chief Hassan siyo baba yake halisi? Na je vipi Mfalme Robert akijua ukweli kuhusu mtoto anayeimiliki hazina? Credits Story, Script, Editing & Cinematic Direction: JC Swahili Movies Production: JC Swahili Movies Unauthorized copying, re-uploading, redistribution, or reproduction of this content in any form is strictly prohibited. © 2025 JC Swahili Movies. All Rights Reserved.