У нас вы можете посмотреть бесплатно MWANAUME ADAIWA KUFARIKI NA MKE WA MTU CHUMBANI, MASHUHUDA WASEMA' NI KITENDO CHA AIBU ALIKUTWA'... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la Petro Masali mkazi wa mtaa wa Majengo manispaa ya Tabora amekutwa akiwa amefariki chumbani akiwa na mwanamke anayedaiwa kuwa mke wa mtu na yeye akiwa amefariki. Akizungumza na Mwananchi leo Novemba 6,2025 Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora Richard Abwao amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba uchunguzi wa kubaini chanzo cha kifo hicho bado unaendelea. "Mchana wa leo majira ya saa saba mchana tumepokea taatifa za watu wawili mwanamke na mwanaume ambao wamekutwa kwenye chumba kimoja kwenye grosali mtaa wa Majengo watu hao wamekutwa wakiwa wamefariki kwenye chumba hicho " alisema na kuongeza "Waliingia chumbani humo Novemba 5,2024 majira saa 8 usiku na leo wakati wahudumu wa glosari hiyo wakimtafuta mhudumu mwenzao ndipo wakabaini kwamba watu hao wawili wamefariki ndani ya chumba kilichokuwa kikitumika kama stoo ya glosari hiyo na tayari miili imechukuliwa mpaka hospitali ya rufaa ya mkoa wa Tabora kitete kwaajili ya uchunguzi zaidi" alisema