У нас вы можете посмотреть бесплатно Watunza Kumbukumbu Wapigwa Msasa,Namna Ya Kutunza Siri Za Serikali Na Kufuata Maadili или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MAWIO TZ Mkuu wa Wilaya ya Njombe Juma Sweda ameagiza watumishi wa umma wanaohusika na utunzaji wa kumbukumbu kutoa huduma bora na kuzingatia utunzaji wa siri za serikali ili kuendelea kuimarisha amani na usalama wa taifa. DC Sweda ametoa agizo hilo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka wakati akizungumza na wanataaluma wa menejementi ya kumbukumbu na nyaraka katika kikao kazi na mafunzo maalum ya kuwajengea uwezo yanayoendelea kitaifa mkoani Njombe. "Ukiona serikali ina nguvu ujue kumbukumbu zake zimehifadhiwa vizuri kwa hiyo mtambue kuwa ulinzi wa amani na usalama wa nchi yetu unategemea uhifadhi wa siri katika kumbukumbu zetu"amesema Sweda KWA MATANGAZO, WASILIANA NASI Email: mawiotztv@gmail.com Simu: 0762684745 au 0674217445 Karibu sana