У нас вы можете посмотреть бесплатно Maafisa Zimamoto Watembelea Global Publishers или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Jeshi la Polisi, Kitengo cha Zimamoto likiongozwa na Mrakibu Msaidizi Puyo Mzalayaimisi, limefanya ziara leo katika ofisi za Global Publishers kwa lengo la kujenga uhusiano mzuri na Global Publishers pia kujifunza mambo mbalimbali yanayohusu habari. Aidha jeshi hilo kupitia mkuu wa msafara, limeupongeza uongozi wa Global Publisher kwa kazi kubwa ya kuipasha habari jamii na kuielimisha pia. Pia jeshi la zimamoto, limetangaza namba ambayo wananchi wanaweza kuwasiliana na kitengo hicho kunapotokea majanga ya moto, na kuwataka wananchi kushirikiana na jeshi hilo kudhibiti majanga ya moto. Ijumaa, jeshi hilo litafanya tena ziara Global Publishers, ambayo itaruka live kupitia Global TV Online. JESHI LA ZIMAMOTO| FIRE| GLOBAL TV ONLINE| FIRE| ZIMAMOTO