У нас вы можете посмотреть бесплатно WOW,,HATIMAYE NGURUWE WENYE THAMANI YA JUU SANA GGP(s) WAMEFIKA TANZANIA. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ni historia mpya kwa maendeeo ya ufugaji wa Nguruwe Tanzania. Nguruwe wenye ubora wa juu zaidi Duniani yaan GGP(s),ambao hawa ni wazazi wakuu wanaowazaa Pure Line(Gps) sasa wameingia Tanzania kwenye shamba la LAKE ZONE FARM iliyopo Mwanza,Kupitia Kampuni bora inayojihusisha ya uzalishaji wa Mbali za wanyama ya GENOMEX, Dr Baguma amefafanua kwa kina na kutoa fursa kwa wafugaji wote ya kushiriki kwenye mchakato huu kama wazalishaji wa majike bora ya SERENIS,lakin kama wafugaji wa moja kwa moja wa majike haya bora ambao ni Kiwanda cha uzalishaji shambani. Usisahau kuendelea kufatilia mchakato huu ikiwa ni pamoja na kuweka oda mapema ili kuwa mnufaika wa kwanza wa mbegu hii. SUBSCRIBE,LIKE,SHARE AND COMMENT KWENYE CHANNEL YETU BORA. Mawasiliano. PAN GRO TANZANIA MR PIG TANZANIA 0678898874. TRUST OUR FEEDS,TRUST YOUR PIGS.