У нас вы можете посмотреть бесплатно Killy - Mwisho (Official Music Video) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mwisho is a Swahili Word in English Means (It’s Over) is a song that talks about relationships that have challenges in it that comes from a woman I loved and that woman has another relationships. Song was produced by Neksazy Download/Stream In All Digital Platforms https://smartklix.com/Mwisho-Singleby... Follow Killy Instagram: / officialkilly_tz Twitter: Facebook: Listen to Killy YouTube: / officialkilly Audiomack: https://audiomack.com/officialkilly Apple Music : / killy Spotify : https://open.spotify.com/artist/6YXrb... Boomplay: https://www.boomplay.com/artists/5886... Deezer: https://www.deezer.com/us/artist/1352... The official YouTube channel of Officialkilly. Subscribe for the latest music videos, performances, and more. For Bookings & More Email: [email protected] Call: Lyrics verse 1: ukweli mama unauficha tena unaniruka kando usijitetee,ajali kila kukicha x wako yanamtoka mafumbo ili unipotee, kweli mnatumiana picha tena anakuunganisha bundle ili mnitetee ndo maana havikauki visa au labda nijirudishe jando nkajitetee (aaaah) kumbe kimya kimya anachachua maana unavyomsifiaga kwa insta unaniona kima unajichetua eti nlikulazimishaga unapita, umenizima umenibidua sidhani hata ka nshakunjaga aah ndita, nishakupima nimekugundua na hili nlishalipigaga aah vita chorus: hakuna marefu yasiyo na aaaah mwisho mwisho ooh (lololo aah...!!) yani bora tufanye iwe mwisho mwisho ooh (tusiendelee aah....!!!) basi nimeshindwa mie mwisho mwisho ooh yani ni bora iwe mwisho (mwisho mwisho oooh) aah mwiiiiiiiiiiiii.. verse 2: maumivu moyo wangu una maumivu uuuh vidonda (aaah aaaah aaah aaaaaah) mwili umepatwa na uvivu penzi limegeuka majivu uuuh nahisi kukonda (aaah aaaah aaaaaah) (iyee eeh eyeeeh aah..!!) eti tufe tuzikwe wote yani hukudhamiria chochote nafsi umeikatili katili acha tu nikukimbieeee nakuridhisha ma nakupa vyote kweli nahudumia cha wote basi we batili batili picha zisinirudieee ooh bebe kumbe kimya kimya anachachua maana unavyomsifiaga kwa insta unaniona kima unajichetua eti nlikulazimishaga unapita, umenizima umenibidua sidhani hata ka nshakunjaga aah ndita, nishakupima nimekugundua na hili nlishalipigaga aah vita chorus: hakuna marefu yasiyo na aaaah mwisho mwisho ooh (lololo aah...!!) yani bora tufanye iwe mwisho mwisho ooh (tusiendelee aah....!!!) basi nimeshindwa mie mwisho mwisho ooh yani ni bora iwe mwisho (mwisho mwisho oooh) aah mwiiiiiiiiiiiii.. #Killy #Mwisho