У нас вы можете посмотреть бесплатно MAFUNZO KWA AJILI YA KUZUIA HOMA YA NGURUWE | USALAMA WA VIUMBE(BIOSECURITY) | FAO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Maafisa mifugo kutoka halmashauri ya manispaa ya Sumbawanga kwa kushirikiana na shirika la FAO, wameweza kupokea mafunzo kwa ajili ya kuhakikisha usalama wa viumbe hasa kwa ugonjwa aina ya African swine fever kwa maarufu homa ya Nguruwe, Ugonjwa huu umekuwa ukileta athari kubwa sana kwa wafugaji kiuchumi. Hivyo basi serikali kwa kushirikiana na shirika la FAO limeweza kutoa mafunzo hayo ili kuweza kisaidia kupunguza athari hizo na pia kuzuia kabisa milipuko ya magonjwa.. Katika mafunzo hayo wameweza kuandaa mpangilio au mjumuisho wa mambo muhimu 26 ambayo mfugaji akizingatia basi atapunguza au kutokomeza kabisa vimelea vya magonjwa katika banda lake. @CLOUDSMEDIA @ufmradiotz @ITVTanzaniaTz @SuaMediakilimonihazina