У нас вы можете посмотреть бесплатно MSHTAKIWA WA MAKOSA YA UBAKAJI AFIKISHWA MAHAKAMANI.. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MSHTAKIWA WA MAKOSA YA UBAKAJI AFIKISHWA MAHAKAMANI.. Mahakama ya hakimu mkazi wilaya ya Kigoma imeanza kusikiliza hoja za awali za kesi mwanaume Dastani elia mwenye umri wa miaka 40 kumbaka mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi saba Kesi hiyo dhidi ya Dastan Elia mkazi wa Kalenge jinai no 98 ya mwaka 2019 ya kumbaka mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi saba mshtakiwa atajwa kutenda kosa hilo mnamo tarehe 5 mwezi wa 7 mwaka 2019 kinyume cha sheria ya kanuni ya adhabu kifungu cha 130 kifungu kidogo cha kwanza na pili (e) na kifungu cha 131kifungu kidogo cha tatu sura ya 20 marejeo ya mwaka 2002 . YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) --------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV: https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEWS: https://www.youtube.com/playlist?list..