У нас вы можете посмотреть бесплатно VILIO VYATAWALA BOMOABOMOA ya MADUKA MBANDE - WAFANYABIASHARA WAMUANGUKIA RAIS SAMIA - "TUNA MIKOPO" или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
VILIO VYATAWALA BOMOABOMOA ya MADUKA MBANDE - WAFANYABIASHARA WAMUANGUKIA RAIS SAMIA - "TUNA MIKOPO"... Baadhi ya wafanyabishara wakubwa na wadogo katika eneo la Mbande- Magengeni jijini Dar wameiangukia Serikali baada ya nyumba na maduka yao kupigwa alama ya X kwa ajili ya kubomolewa huku wakiwa wamelipa kodi ya pango ya mwaka mzima. Wakizungumza na GLOBAL TV, wafanyabiashara hao wanasema kuwa, walishtushwa baada ya fremu zao kupigwa X na mamlaka ya barabara nchini TANROADS kwa sababu majengo hayo yamejengwa kwenye eneo la wazi la barabara na sasa Serikali imeanza upanuzi wa barabara za kubwa ya Mbande inayokwenda kutokea Mbagala Rangi-Tatu. Wafanyabishara hao wanamuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan na mamlaka zake kuwaongezea muda wa notisi kwa kuwa siku 14 ni chache mno kwa upande wao kujipanga na kutafuta maeneo mengine ya kufanyia biashara na angalau wangepewa mwaka mmoja ili wajipange. Wengi wanasema biashara zao wanaziendesha kwa mikopo hivyo vichwa vimewaka na hawaelewi wafanye nini. Wafanyabishara hao wamepanga kukutana na viongozi wa ngazi mbalimbali kuanzia serikali ya mtaa hadi kwa diwani na mbunge kwa ajili ya kutafuta suluhu ya suala hilo... ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx