• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

REV. DR. ELIONA KIMARO: SADAKA NA NADHIRI, KUZUILIA скачать в хорошем качестве

REV. DR. ELIONA KIMARO: SADAKA NA NADHIRI, KUZUILIA 2 года назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
REV. DR. ELIONA KIMARO: SADAKA NA NADHIRI, KUZUILIA
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: REV. DR. ELIONA KIMARO: SADAKA NA NADHIRI, KUZUILIA в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно REV. DR. ELIONA KIMARO: SADAKA NA NADHIRI, KUZUILIA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон REV. DR. ELIONA KIMARO: SADAKA NA NADHIRI, KUZUILIA в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



REV. DR. ELIONA KIMARO: SADAKA NA NADHIRI, KUZUILIA

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA JUMAPILI (KUSIFU NA KUABUDU) - 05 NOV 2023. KICHWA CHA SOMO : SADAKA & NADHIRI (KUZUILIA) Mithali 11 : 24 Matendo ya mitume 5 : 1 - 11 Mwanzo 22 : 11 - 18 Mithali 11 : 24 24 Kuna atawanyaye, lakini huongezewa zaidi; Kuna azuiaye isivyo haki, lakini huelekea uhitaji. Matendo ya mitume 5 : 1 - 11 1 Lakini mtu mmoja jina lake Anania, pamoja na Safira mkewe, aliuza mali, 2 akazuia kwa siri sehemu ya thamani yake, mkewe naye akijua haya, akaleta fungu moja akaliweka miguuni pa mitume. 3 Petro akasema, Anania, kwa nini Shetani amekujaza moyo wako kumwambia uongo Roho Mtakatifu, na kuzuia kwa siri sehemu ya thamani ya kiwanja? 4 Kilipokuwa kwako, hakikuwa mali yako? Na kilipokuwa kimekwisha kuuzwa, thamani yake haikuwa katika uwezo wako? Ilikuwaje hata ukaweka neno hili moyoni mwako? Hukumwambia uongo mwanadamu, bali Mungu. 5 Anania aliposikia maneno haya akaanguka, akafa. Hofu nyingi ikawapata watu wote walioyasikia haya. 6 Vijana wakaondoka, wakamtia katika sanda, wakamchukua nje, wakamzika. 7 Hata muda wa saa tatu baadaye mkewe akaingia, naye hana habari ya hayo yaliyotokea. 8 Petro akamjibu, Niambie, Mlikiuza kiwanja kwa thamani hiyo? Akasema, Ndiyo, kwa thamani hiyo. 9 Petro akamwambia, Imekuwaje hata mkapatana kumjaribu Roho wa Bwana? Angalia, miguu yao waliomzika mumeo ipo mlangoni, nao watakuchukua nje wewe nawe. 10 Mara akaanguka miguuni pake akafa; wale vijana wakaingia wakamkuta amekufa, wakamchukua nje, wakamzika pamoja na mumewe. 11 Hofu nyingi ikawapata kanisa lote na watu wote walioyasikia haya. Mwanzo 22 : 11 - 18 11 Ndipo malaika wa Bwana akamwita kutoka mbinguni, akasema, Ibrahimu! Ibrahimu! Naye akasema, Mimi hapa. 12 Akasema, Usimnyoshee kijana mkono wako, wala usimtendee neno; kwa maana sasa ninajua ya kuwa unamcha Mungu, iwapo hukunizuilia mwanao, mwanao wa pekee. 13 Ibrahimu akainua macho yake, akaangalia, na tazama, kondoo mume yuko nyuma yake, amenaswa pembe zake katika kichaka. Basi Ibrahimu akaenda akamtwaa huyo kondoo, akamtoa awe sadaka ya kuteketezwa badala ya mwanawe. 14 Ibrahimu akapaita mahali hapo Yehova-yire,d kama watu wasemavyo hata leo, Katika mlima wa Bwana itapatikana. 15 Malaika wa Bwana akamwita Ibrahimu mara ya pili kutoka mbinguni 16 akasema, Nimeapa kwa nafsi yangu asema Bwana, kwa kuwa umetenda neno hili, wala hukunizuilia mwanao, mwanao wa pekee, 17 katika kubariki nitakubariki, na katika kuzidisha nitauzidisha uzao wako kama nyota za mbinguni, na kama mchanga ulioko pwani; na uzao wako utamiliki mlango wa adui zao; 18 na katika uzao wako mataifa yote ya dunia watajibarikia; kwa sababu umetii sauti yangu. Mhubiri : Rev. Dr. Eliona Kimaro Kwa maoni na ushauri: Mch. kiongozi: Dr. Eliona Kimaro Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053

Comments
  • REV. DR. ELIONA KIMARO: SADAKA NA NADHIRI II 2 года назад
    REV. DR. ELIONA KIMARO: SADAKA NA NADHIRI II
    Опубликовано: 2 года назад
  • REV. DR. ELIONA KIMARO: SADAKA ILIYOBEBA FURSA 1 год назад
    REV. DR. ELIONA KIMARO: SADAKA ILIYOBEBA FURSA
    Опубликовано: 1 год назад
  • KAMA KUNA LAANA NI ILE YA KUMPIGA MWENZAKO KWA SIRI; KIKULACHO KI NGUONI MWAKO. 2 недели назад
    KAMA KUNA LAANA NI ILE YA KUMPIGA MWENZAKO KWA SIRI; KIKULACHO KI NGUONI MWAKO.
    Опубликовано: 2 недели назад
  • TUVUMILIE HATA MWISHO KATIKA BWANA/ REV. DR. ELIONA KIMARO 8 дней назад
    TUVUMILIE HATA MWISHO KATIKA BWANA/ REV. DR. ELIONA KIMARO
    Опубликовано: 8 дней назад
  • ANGUKO LANGU LILIGHARAMIWA NA YULE MWANAMKE NINA KISIRANI CHA KUTOSHA. 2 недели назад
    ANGUKO LANGU LILIGHARAMIWA NA YULE MWANAMKE NINA KISIRANI CHA KUTOSHA.
    Опубликовано: 2 недели назад
  • IS HE APOSTLE NGANGA SON?THE ONLY MUKURINU DOING DELIVARANCE AKORINO KENYA ONE 1 год назад
    IS HE APOSTLE NGANGA SON?THE ONLY MUKURINU DOING DELIVARANCE AKORINO KENYA ONE
    Опубликовано: 1 год назад
  • KUJALIWA KUWA (GOD AT WORK) HAJIRI / REV. DR. ELIONA KIMARO 5 дней назад
    KUJALIWA KUWA (GOD AT WORK) HAJIRI / REV. DR. ELIONA KIMARO
    Опубликовано: 5 дней назад
  • REV ELIONA KIMARO - NADHIRI YA YEFTHA (OFFICIAL VIDEO) 7 лет назад
    REV ELIONA KIMARO - NADHIRI YA YEFTHA (OFFICIAL VIDEO)
    Опубликовано: 7 лет назад
  • Uwe hodari na moyo wa ushujaa || Askofu Dr Paul Samwel 11 дней назад
    Uwe hodari na moyo wa ushujaa || Askofu Dr Paul Samwel
    Опубликовано: 11 дней назад
  • Sadaka ya Eliya | Ibada ya Jumapili,Kusifu, Kuabudu na Fungu la Kumi | Rev. Dr. Eliona Kimaro 1 год назад
    Sadaka ya Eliya | Ibada ya Jumapili,Kusifu, Kuabudu na Fungu la Kumi | Rev. Dr. Eliona Kimaro
    Опубликовано: 1 год назад
  • REV. DR. ELIONA KIMARO: ZITAFAKARI NJIA ZAKO 2 года назад
    REV. DR. ELIONA KIMARO: ZITAFAKARI NJIA ZAKO
    Опубликовано: 2 года назад
  • Rev Eliona Kimaro - Uchungu wa Esau Morning Glory 3rd Mar 2020 5 лет назад
    Rev Eliona Kimaro - Uchungu wa Esau Morning Glory 3rd Mar 2020
    Опубликовано: 5 лет назад
  • REV. DR. ELIONA KIMARO: LISIKIE NENO LA MUNGU 1 год назад
    REV. DR. ELIONA KIMARO: LISIKIE NENO LA MUNGU
    Опубликовано: 1 год назад
  • VITA NA MAJESHI YA WATU WALIOKUFA 3/5 Bishop Dr Gwajima - bonyeza SUBSCRIBE 8 лет назад
    VITA NA MAJESHI YA WATU WALIOKUFA 3/5 Bishop Dr Gwajima - bonyeza SUBSCRIBE
    Опубликовано: 8 лет назад
  • Wanazaliwa Mashujaa lakini Neno lilotamkiwa ukoo wao linawadhoofisha. 1 год назад
    Wanazaliwa Mashujaa lakini Neno lilotamkiwa ukoo wao linawadhoofisha.
    Опубликовано: 1 год назад
  • KUTANA NA MUNGU KWANZA( Official video)  By Emmnuel Mgogo.( +255769505537) 1 год назад
    KUTANA NA MUNGU KWANZA( Official video) By Emmnuel Mgogo.( +255769505537)
    Опубликовано: 1 год назад
  • REV. DR. ELIONA KIMARO:  BARAKA YA KIVIZAZI 1 год назад
    REV. DR. ELIONA KIMARO: BARAKA YA KIVIZAZI
    Опубликовано: 1 год назад
  • MCH DANIEL MGOGO - JINSI YA KUONDOA NADHIRI ULIYOWEKA MBELE ZA BWANA (OFFICIAL VIDEO) 6 лет назад
    MCH DANIEL MGOGO - JINSI YA KUONDOA NADHIRI ULIYOWEKA MBELE ZA BWANA (OFFICIAL VIDEO)
    Опубликовано: 6 лет назад
  • MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: FAHAMU NI JINSI GANI SADAKA INAVYOWEZA KUSHIKA MAISHA YAKO YA BAADAE. 2 года назад
    MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: FAHAMU NI JINSI GANI SADAKA INAVYOWEZA KUSHIKA MAISHA YAKO YA BAADAE.
    Опубликовано: 2 года назад
  • REV. DR. ELIONA KIMARO: MASHAKA YA MAISHA 2 года назад
    REV. DR. ELIONA KIMARO: MASHAKA YA MAISHA
    Опубликовано: 2 года назад

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5