У нас вы можете посмотреть бесплатно Njooni twende Nyumbani/Kwaya ya Mt.Yusufu Mlolongo/Entrance Song/Misa/Dr. Martin N. Kisuu. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kwaya ya Mt. Yusufu Parokia ya Mlolongo kutoka Jimbo la Machakos-Kenya. Njooni twende Nyumbani mwake Bwana ni mojawapo ya nyimbo za kuingia zilizoandikisha historia kwa utunzi na ustadi wa hali ya juu sana unaozingatia vyema sanaa za muziki Wimbo huu unasifika sana kwa kuduwaza kwani umebeba neema na ubunifu wa kiroho.Uliimbwa katika Misa Maalum kikundi cha CWA wakiudumu Misa. Umetungwa na Dr. Martin N. Kisuu. Umeimbwa na kwaya ya Mt. Yusufu Mlolongo. Umetayarishwa na CPA Musyoka.