У нас вы можете посмотреть бесплатно Kutoka Shauku hadi Kusudi | Ifahamu Stori nyuma ya Inspire Fikra na Agness Gabriel или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
kutoka shauku hadi Kusudi - kwenye video hii, Agness Gabriel mwanzilishi wa Inspire Fikra anaeleza nini kilimsukuma kuanzisha chaneli hii miaka mingi iliyopita kipindi anasoma Katika Chuo kikuu Cha Dodoma Anaelezea mambo yafuatayo:- 1. Neno Inspire Fikra maana yake nini? 2. Wazo la kuanzisha INSPIRE FIKRA lilitoka wapi? 3. Je, Kuna Mabadiliko kati ya Inspire Fikra ya Mwanzo na Sasa? 4. Nini anakusudia kutimiza kupitia Chaneli hii ya Inspire Fikra? Inspire Fikra ni kwaajili ya Kila kijana anaetamani kupata mafanikio hapa Duniani kwa Njia sahihi ( njia ya haki na utakatifu), kama na wewe ni mmoja wapo, karibu utazame video hii hadi mwisho. Karibu Unsubscribe, like, share na tufuatilie katika kurasa zetu Instagram, Facebook, TikTok @Inspirefikra Music:Endless Possibilities Musician:VN VideoEditor