У нас вы можете посмотреть бесплатно #TAZAMA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Na John Nditi, Morogoro WATU watano miongoni mwao wanandoa wawili wamefariki dunia kutokana na ajali iliyohusisha gari ndogo IT kugongana uso kwa uso na Lori la mafuta eneo la Iyovi, wilaya ya Kilosa, mkoani Morogoro katika barabara kuu ya Morogoro-Iringa. Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro, Fortunatus Musilimu amesema kuwa ajali hivyo ilitokea usiku wa Desemba 26,2022 katika eneo la Iyovi, kata na tarafa ya Mikumi, wilayani Kilosa. Musilimu amesema ajali ilihusisha gari ndogo Toyota Allion yenye namba IT 6954DNN ikiendeshwa na Festo Eliuzima Shoo ikitokea Bandarini Dar-es-Salaam kwenda Tunduma na kugongana uso kwa uso na gari kubwa la mafuta aina ya Mercedes Benz yenye namba za usajili RAE 518C yenye Tela RL 2686 iliyokua ikiendeshwa na dereva Muthoni Richard raia wa Rwanda wakati likitokea Iringa-Morogoro. Musilimu amesema chanzo cha ajali hiyo ni uzembe wa dereva wa Gari ndogo Toyota Allion kutaka kuyapita magari mengine bila tahadhari ndipo kukutana uso kwa uso na gari kubwa la mafuta aina iliyokua katika uelekeo wa kutoka Iringa - Morogoro. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09