У нас вы можете посмотреть бесплатно BILA UWOGA UKAKAMAVU WALIOONYESHA ASKARI POLISI MBELE YA CDF MABEYO NA IGP SIRRO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Naibu waziri wa mambo ya ndani ya nchi Hamza Chilo ameweza kufunga mafunzo ya uongozi ngazi ya wa wakaguzi wasaidizi wa polisi katika shule ya polisi Moshi mkoani Kilimanjaro ambapo askari waliweza kuhitimu huku askari wakionyesha umahiri pamoja na ukakamavu ikiwemo pikipiki kupita juu vifua vyao pamoja na mchezo wa taekwondo Miongoni mwa viongozi walioshuhudia shughuli hiyo ni pamoja na mkuu wa jeshi la polisi nchini Simon Sirro,Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venance Mabeyo pamoja na viongozi wengine kwenye hii video hapa chini inaonesha mazoezi ya askari walivyofanya pamoja na kauli za viongozi baada ya mafunzo hayo kufungwa