У нас вы можете посмотреть бесплатно USIKUBALI KUWA KILAZA MBEYA NZIMA HII NDIO SHULE BORA RC HOMER AKAGUA UJENZI WA SHULE YA MKOA KYELA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Cde: Juma Homera amewataka Viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela na Kamati ya Ujenzi kukamilisha haraka Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Busale iliyoko Kata ya Busale Halmashauri ya Wilaya ya Kyela ili Wanafunzi waanze Masomo itakapofika Mwezi March(Wa tatu 2024). Mbali na Agizo hilo RC Homera amepongeza Juhudi na jitihada zinazofanywa na Viongozi hao wa Halmashauri na kuwaasa kutochoka kuendeleza Mapambano ya kukuza Elimu ikiwa ni Moja ya Sera ya Serikali ya kukuza na kuboresha Viwango vya Elimu nchini. Homera baada ya Kufika Shuleni hapo ameridhishwa na Utendaji Kazi wa Jopo zima la Wasimamizi wa Mradi huo huku akimmwagia Sifa Mtu aliyependekeza eneo la Kujenga Shule hiyo kuchagua eneo zuri lenye Mazingira mazuri ambapo anaamini kupitia hilo Wanafunzi watafaulu kwa kiasi Kikubwa. Bi Josephine Mohammed Mkuu wa Wilaya ya Kyela Amesema bado Wataendelea Kusimamia Ujenzi huo Usiku na Mchana kuhakikisha Unakamilika kwa Wakati ili Wanafunzi waanze Masomo Yao Mapema.