У нас вы можете посмотреть бесплатно FEROOZ - Full Interview na Bongo Project или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ferooz anakuwa msanii wa pili kwenye mfululizo wa vipindi vya Bongo Project. Katika interview hii ndefu Ferooz anaelezea juu ya maisha yake ya utotoni, shule, malezi na kuanza kuupenda muziki. Anawataja watu mbalimbali waliomuwezesha kufika hapa na pia anasimulia visa na mikasa kwenye maisha yake ya muziki. Kuna vingi hujui kwenye safari ya muziki na maisha ya msanii Ferooz. Angalia na Sikiliza hapa. #ferooz #feruzi #bongofleva #daznundaz #bongoproject Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake. -------------------- WEBSITE -------------------- bongoproject.org -------------------- SOCIAL MEDIA -------------------- Instagram: / bongo_project Facebook: / bongo-projec. . -------------------- CONTACT -------------------- Email: [email protected]