У нас вы можете посмотреть бесплатно WALIPA KODI WAOMBA KIGEZO CHA KUPANDISHA VYEO MAAFISA TRA KIBADILIKE, WALIA NA UTITIRI WA KODI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wafanyabiashara mkoani Mbeya wameiomba Serikali kuwapandisha vyeo maafisa wa Mamlaka ya mapato nchini kwa kigezo cha kuzalisha idadi kubwa ya walipa kodi badala ya kutumia kigezo cha kiwango kikubwa cha ukusanyaji mapato hali hiyo kimekuwa chanzo cha biashara nyingi kufa huku wakiomba kufanyika marekebisho ya sheria na kupunguza utitiri wa tozo ili kila mfanyabiashara awezi kulipa wa kwa hiari. Taarifa ya Kenneth ngelesi kutoka mbeya inafafaua Zaidi..