У нас вы можете посмотреть бесплатно JPM Awarudisha KAZINI POLISI waliokamatwa kwenye wizi wa DHAHABU или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
JPM Awarudisha KAZINI POLISI waliokamatwa kwenye wizi wa DHAHABU Rais Dkt John Magufuli amewarudisha kazini Askari waliokuwa wamefukuzwa kazi ka makosa yakuomba rushwa baada yakuwakamata wezi wa dhahabu mkoani Mwanza. Rais Magufuli amechukua uamuazi huo baada ya DPP Kutekeleza maagizo yaliotolewa na FRais Magufuli hivi karibuni alipotembelea Gereza la BUTIMBA Mwanza nakutoa agizo la watu walio maabusu kusikilizwa tena kisha wasio kuwa na hatia kuachiwa huru Rais Magufuli ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na wakazi wa Kongwa mkaoni Dodoma alipofanya ziara yake mkoani humo wakati akiendelea na likizo yake Mkoani Geita. #JPM https://www.youtube.com/playlist?list... https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho