У нас вы можете посмотреть бесплатно WAHAMIAJI HARAMU WAJA NA MBINU ZA KUINGIA NCHINI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#knews24 MBINU HATARI ZA WAHAMIAJI HARAMU KUINGIA NCHINI Wahamiaji haramu watano ambao ni raia wa Ethiopia wamekamatwa na jeshi la uhamiaji katika mpaka wa Tarakea, wakiwa wamejificha chini ya lori la kubeba gesi. Akizungumza baada ya kuwakamata raia hao,mkuu wa uhamiaji mkoa wa Kilimanjaro Fakih Nyakunga, amesema vijana hao wamewekwa chini ya uvungu wa lori ambapo walikua tayari kuingia nchini. Amezitaka mamlaka za nchi zote mbili kuzidisha upekuzi ili kupambana na uhamiaji haramu ambao unaweza kutishia usalama wa pande zote. Mpaka wa Tarakea upo wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro ikiwa imezitenganisha nchi ya Tanzania na Kenya,huku siku za hivi karibuni ikishuhudiwa ongezeko la wahamiaji haramu kutoka nchini Ethiopia.