У нас вы можете посмотреть бесплатно UNAPOPITIA NYAKATI NGUMU KWENYE MAISHA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Matatizo kwenye maisha ni kitu cha kawaida sababu yanampata kila mtu bila kujali nafasi au tofauti yoyote mtu aliyonayo. Usipokuwa makini ni rahisi kuanza kumkufuru hata Mungu au kuanza kufanya mambo ambayo yanaweza kukupoteza kabisa katika utaratibu wa mafanikio. Lakini ukiwa makini na mwenye kuzingatia basi utafahamu kuwa hali ya matatizo ni jambo la kupita tu na zipo siku nzuri mbele zinakuja, kwahiyo mtihani kwako ni namna gani unaishi na tatizo ulilonalo sasa wakati ukiwa na matumiani ya kuzisubiri siku nzuri mbeleni? Basi somo hili lina mambo 6 muhimu ya kufanya pindi unakuwa kwenye matatizo ya namna yoyote ile kwenye maisha. Karibu sana. . Kujiunga na group la SPN BOOKS CLUB Tuma whatsapp text : SPN BOOKS CLUB kwenda 0759191076 . Channel yangu yenye video fupifupi ( EZDEN SHOT CLIPS) Click hapa: / Канал . Usiache ku SUBSCRIBE na kuniandikia kwenye COMMENTS ni namna gani uliweza kuyashinda baadhi ya matatizo kwenye maisha yako na nini ulijifunza katika hali hiyo tafadhali tupe uzoefu huo na sisi tupate kitu hapo. Usisahau ku-LIKE na ku-SHARE pia kwa wengine wajifunze zaidi. . KARIBU TUUNGANE KWENYE INSTAGRAM: SPN CHANNEL: / successpath_network EZDEN JUMANNE: / ezdenjumanne . BIASHARA, MATANGAZO NA VITABU: EMAIL: [email protected] WHATSAPP : (+255)759191076 . TAZAMA ZAIDI KUTOKA KWETU: ⚫️ EZDEN JUMANNE: • EZDEN JUMANNE ⚫️ VITABU: • JE, TEKNOLOJIA INADUMAZA USOMAJI VITABU? -... ⚫️ VICTOR MWAMBENE: • TUMIA WATU KWA NJIA HIZI UFANIKIWE ⚫️ HAMASA YA LEO: • SOMO LA MAISHA | Hamasa Ya Leo EP. 39 ⚫️ NDOA: • JIFUNZE MAMBO MANNE (4) KABLA YA NDOA ⚫️ AFYA: • Njia Rahisi za Kuondoa Sumu Mwilini #Matatizo #Maisha #Suluhisho