У нас вы можете посмотреть бесплатно Maisha Plus S05E15 - LIVE - Eviction Show или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Salaam kutoka kijiji cha @MaishaPlus | Siku ya 15 Washiriki wamegawanywa katika makundi mawili na kupewa task. Wamepewa picha mbili zilizogawanywa katika vipande vingi. Wanatakiwa kuziunganisha ili zilete maana. Hizi picha zikiunganishwa kwa umakini, ustadi na kwa kushirikiana kama timu watapata picha moja ya Rais John Magufuli wa Tanzania nyingine ya Rais Paul Kagame wa Rwanda. (Siri yako lakini, washiriki hawalijui hili.) Watakaokuwa wa kwanza kupata watakua washindi. Walioshindwa watakua watumwa wa washindi na watatakiwa kuwafanyia shughuli zote ikiwa ni pamoja na kuwanunulia chakula, maji, vinywaji n.k kwa muda wa siku tatu. Hili swala ni serious. Washiriki walipewa hii task asubuhi na hawakutakiwa kufanya shughuli nyingine yoyote ikiwa ni pamoja na kula, kuoga, n.k hadi hili zoezi litakapokamilika. Hadi sasa hawana hata mwelekeo wa kupata jibu sahihi. Wana njaa. Wamechoka. Wanaendelea na zoezi. LEO washiriki watatu watayaaga mashindano. Nani atabaki kijijini, nani ataondoka? Tutakua LIVE kupitia Azam Two kuanzia saa tatu usiku huu na kupitia / maishaplus . #VijanaNdioNgazi #HapaKaziTu