У нас вы можете посмотреть бесплатно SOUWASA YAADHIMISHA WIKI ya MAJI kwa KUPANDA MITI 500 LUHIRA - WAFUNGUKA... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
SOUWASA YAADHIMISHA WIKI ya MAJI kwa KUPANDA MITI 500 LUHIRA - WAFUNGUKA... @ROSEMARY JOSEPH - RUVUMA CC; BAKARI MAHUNDU Maadhimisho ya Wiki ya Maji Duniani yameendelea kupewa uzito mkubwa Mjini Songea, ambapo jamii imehamasishwa kushiriki kikamilifu katika uhifadhi wa rasilimali maji na mazingira. Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Songea (SOUWASA) imefanya shughuli mbalimbali za uelimishaji kwa wananchi kuhusu uhifadhi wa vyanzo vya maji, Katika kuadhimisha wiki hiyo, jumla ya miti 500 imepandwa katika bonde la mto Luhira, ambalo ni chanzo kikuu cha maji kwa wakazi wa manispaa hiyo. ================================================================= ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx