У нас вы можете посмотреть бесплатно MFAHAMU MWALIMU ALIYEACHA KAZI NA KUJIAJIRI/SASA ANA SHULE YAKE/DAVID SWAHILI SCHOOL или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Tumekukutanisha na 'David Swahili Trainer' ambaye ndiye mmiliki wa 'David swahili School' ambayo hasa inafundisha kiswahili kwa Raia wengi wa kutoka nje ya nchi kama Marekani, Ujerumani nk. David amewahi kufanya kazi akiwa kama mwalimu mwajiriwa katika shule ya private pia, na seikali, lakini aliamua kuacha kazi na kujiajiri mwenyewe ambapo kwa sasa amefanikiwa kuwa na Shule yake Binafsi. Nini sababu iliyomfanya aache kazi, Wanafunzi wake anawapataje, shule yake iko wapi?, kazi yake ina faida gani kwenye sekta ya utalii? Maswali yote haya ameyajibu kwenye Hii Exclusive Interview. Contacts: +255 756 708 434 #Subscribe #EmTVNews #Erastomashauri