У нас вы можете посмотреть бесплатно WATU WAMEKUFA SANA KWENYE KAMBI YA BURUDI CONGO YA CHACHA MAHA KUWAMALIZA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#interview #trending #tv #congo #duniani #thewolrd WAKIMBIZI 53 WA CONGO WAFARIKI NCHINI BURUNDI - UN Tukielekea huko nchini Burundi tunafahamishwa ya kwamba, Zaidi ya wakimbizi 50 wanaokimbia mapigano mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo wamefariki katika nchi jirani ya Burundi, Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa liliambia Reuters Ijumaa jioni. Kati ya jumla ya vifo 53 vilivyorekodiwa, watu 25 walikufa kutokana na mlipuko wa kipindupindu, shirika hilo lilisema, huku wengine sita wakifariki kutokana na upungufu wa damu na matatizo mengine yanayohusiana na utapiamlo, lilisema.