У нас вы можете посмотреть бесплатно ZIFAHAMU BUNDUKI TANO ZA SNIPER HATARI ZAIDI DUNIANI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#Hizi ni bunduki zenye kasiba ndefu zinazoshikwa kwa mikono miwili na mara nyingi hukaa begani #wakati wa kufyatua. Zimetengenezwa kwa ajili ya usahihi wa risasi na kufyatulia umbali mrefu. Rifles# hutumika sana kwa uwindaji, michezo ya kulenga shabaha, na matumizi ya kijeshi. Zinaweza kuwa: Bolt-action rifles: Zinahitaji mtumiaji kupakia risasi mpya mwenyewe baada ya kila risasi kwa# kutumia mfumo wa bolt. #Lever-action rifles: Zinatumia mfumo wa lever chini ya pipa kupakia risasi mpya. #Semi-automatic rifles: Zina uwezo wa kufyatua risasi moja kwa kila bonyezo la trigger, na kujipaki risasi nyingine moja kwa moja kutoka magazine. Mfano maarufu ni AK-47 na M-16. #Simulizi #Hadithi #HadithiZaKiswahili #SwahiliStories #Kisimulizi #Visa #Bunduki #Silaha #Ulinzi #Kujilinda #sinemazetuhd #azamtv #army #bongosinema #sinema #hd700