У нас вы можете посмотреть бесплатно SPIKA ZUNGU ARIDHISHWA NA UCHIMBAJI WA VISIMA I WAMI/RUVU YASIMAMIA ZOEZI HILO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Ilala Mhe. Mussa Azzan Zungu ametembelea na kukagua mradi wa uchimbaji wa visima unaendelea katika Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam Mhe. Zungu amefanya ziara hiyo katika mtaa wa Mchikichini, kata ya Ilala na kujionea ukamilikaji wa zoezi hilo ambapo ameridhishwa na uchimbaji wa visima hivyo huku akiagiza kukamilika haraka wananchi wa maeneo hayo waweze kupata huduma ya majisafi na salama. Akisoma taarifa ya utekelezaji wa mradi huo wa uchimbaji wa visima Bi. Diana Kimbute ambaye ni Afisa Kidakio cha Pwani, Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu amebainisha kuwa mradi umefikia asilimia 90 ya kukamilika kwake na kwa sasa zoezi linaloendelea ni upimaji wa wingi wa maji (Pumping Test) baada ya hapo visima hivyo vitakabidhiwa kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) ili viunganishwe kwenye mtandao wa maji na kuhudumia wananchi. Kwa upande wa wananchi wa mtaa wa Mchikichini wameishukuru serikali ya Awamu ya Sita kwa utekelezaji wa ahadi zake za kuhakikisha watanzania wanafikiwa na huduma ya maji. “Tone la maji lazima lihifadhiwe”