У нас вы можете посмотреть бесплатно SERIKALI YAZINDUA SHULE YA KISASA YA SEKONDARI JUMUISHI ARUSHA, INACHUKUA WANAFUNZI WOTE ..... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
SERIKALI YAZINDUA SHULE YA KISASA YA SEKONDARI JUMUISHI ARUSHA, INACHUKUA WANAFUNZI WOTE ..... Naibu waziri wa elimu mh Omari kipanga amesema serikali ya awamu ya sita imeendlea kuweka msukumo mkubwa katika kuboresha mazingira ya kufundishia na kujifunzia kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu Ameyasema hayo wakati akizindua Shule jumuishi ya mfano ya sekondari Patandi iliyopo Tengeru mkoani Arusha iliyo jengwa na wizara ya elimu Sayansi na teknolojia . Mkurugenzi wa Halmashauri ya Meru Mwalimu Zainabu Makwinya ameeleza namna watakavyojipanga kuisimamia shule hiyo baada ya uzinduzni na Kukabidhiwa na serikali ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: [email protected] OR [email protected] ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline