У нас вы можете посмотреть бесплатно JIFUNZE NAMBARI ZA KIJERUMANI 1-10 || Learn Germany или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Karibu kwenye channel yangu! 🙏💕 Je, ndoto yako ni kusafiri Ulaya? Kujifunza Kijerumani ni ufunguo wa kufanikisha ndoto hizo! Lugha hii inaweza kubadilisha maisha yako kwa kukupa fursa za kusafiri Ujerumani na sehemu nyingine za Ulaya kupitia njia kama vile programu za Aupair,Volunteer ,Ma, German Language Visa, ndoa, na zaidi. Tazama video zingine kwenye channel yangu ili kujifunza jinsi unavyoweza kujaza na kama una maswali, usisite kuuliza, nipo hapa kukuongoza. Nimechagua njia rahisi na ya kufurahisha ya kukuwezesha wewe kujifunza Kijerumani haraka na kwa urahisi. Jiunge nami kwenye safari hii ya kufurahisha ya kujifunza na ujenge msingi imara wa lugha ya Kijerumani. Usisahau kubonyeza kitufe cha subscribe ili uweze kupata mafunzo zaidi na kujiunga na jamii ya kujifunza. Asante kwa kuwa sehemu ya channel yangu! 🌟 #StacyKenya #GermanLanguage #LearnGerman #Kijerumani #KujifunzaKijerumani #Nambari #Language #Lugha #Education #Elimu #LearningJourney #SafariYaKujifunza #MaikoAndSarah #VideoYaElimu #EducationalVideo #YouTube #LughaYaKigeni #ForeignLanguage #MafunzoYaLugha #LanguageLearning #KujifunzaKwaFuraha #Aupair #GermanLanguageVisa #Volunteer #Ausbildung #TravelToGermany #KusafiriKwendaUjerumani #StudyingInGermany #KusomaUjerumani #Aupair #volunteer #Ausbildung #lerndeutsch #Nursing #travel.