У нас вы можете посмотреть бесплатно Taarifa Mbaya iliyotufikia kutoka Morogoro, Watoto Wadogo waokotwa Wamekufa. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Miili ya watu watatu imeokotwa katika eneo la Bene barabara ya Iringa Manispaa ya Morogoro ambapo mwanaume mmoja anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 25-35 ambaye majina yake bado hayajatambulika amekutwa amefariki kisha mwili wake kutelekezwa chini ya daraja la njia ya gari moshi ( treni) katika eneo hilo. Kamanda wa polisi Mkoa wa Morogoro Alex Mukama amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, ambapo mtu huyo amekutwa umeuawa huku mwili ukiwa umechomwa na kitu chenye ncha kali maeneo ya kifuani. Mbali na tukio hilo, Kamnda Mukama amesema maeneo ya Msamvu Manispaa ya Morogoro jeshi hilo limeokota miili miwili ya watoto ( mapacha ) ambao imetokana kutolewa kwa mimba ambayo haijafikia umri na wao kisha kutupwa eneo la karibu na kituo cha mabasi msamvu. ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA Ngasa Online Tv ⚫️ Email: [email protected] / WhatsApp 0716909567 / Call 0716909567 ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: / playlist list=PLSzTdjtfFZV4x9eEn8XKjtHMqu5fkevjb ⚫️ BUNGENI DODOMA: / watch v=0tOC0Qdxizc&list=PLSzTdjtfFZV6DoniR7GGw1_I0dWOzx01B ⚫️ SIASA : • Видео Channel pekee inayokuwezesha kupata Habari za Kisiasa,Michezo, Kijamii, na Burudani kutoka Ndani na Nje ya Tanzania. Kama unahitaji kufanya Matangazo au Habari yoyote ya KIJAMII Tafadhali wasiliana na Sisi Kupitia 0716909567 Tunawapa kipaumbele kwa waliopo Dodoma [email protected] WhatsApp: +255 716909567 Call us : +255 716909567 thank you for watching this video ,please leave a like if you enjoyed the video & Subscribe for more video. #sensa #jitokezekuhesabiwa #ngasatv