У нас вы можете посмотреть бесплатно MZEE WASIRA AMTAKA TUNDU LISSU KURUDI NYUMBANI BAADA ya KUZUILIWA AIRPORT ANGOLA... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MZEE WASIRA AMTAKA TUNDU LISSU KURUDI NYUMBANI BAADA ya KUZUILIWA AIRPORT ANGOLA... Mbozi, Songwe – Machi 14, 2025** – Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Bara, Mzee Stephen Wasira, ametoa wito kwa Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu, kurudi nyumbani kufuatia taarifa za kuzuiliwa kwake nchini Angola. Wasira alitoa kauli hiyo akiwa katika ziara ya kikazi wilayani Mbozi, mkoa wa Songwe, alipokuwa akizungumza na wanachama wa CCM. Alisisitiza kuwa Tanzania ni nchi yenye demokrasia imara, na kila mwanasiasa ana nafasi ya kushiriki siasa kwa uhuru akiwa nyumbani. Lissu, ambaye amekuwa akiishi nje ya nchi kwa muda mrefu, alizuiliwa na maafisa wa uhamiaji wa Angola alipokuwa safarini kuhudhuria mkutano wa kimataifa wa demokrasia, hali iliyozua mjadala mkubwa nchini Tanzania. ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx