У нас вы можете посмотреть бесплатно KITAELEWEKA TU! TRA, WAFANYABIASHARA K/KOO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
DAR ES SALAAM: MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imeahidi kuendelea kutatua kwa haraka changamoto mbalimbali zinazowakabili wafanyabiashara nchini ili kuhakikisha kuna kuwa na Mazingira rafiki kwa Wafanyabiashara wote kulipa Kodi kikamilifu. Hayo yamesemwa na Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph Mwenda wakati akizungumza na Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Kariakoo kuhusu changamoto zinazowakabili ambapo amesema umuhimu wa kuwa wa kweli pamoja kushirikiana kubaini Wafanyabiashara wanaokwepa kulipa Kodi. Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo, Martin Mbwana kwa niaba ya Wafanyabiashara hao pamoja na kupongeza TRA kuanzisha utaratibu wa kukutana na Wafanyabiashara wiki amesema wafanyabiashara wapo tayari kushirikiana na Serikali ili kwenda pamoja. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09