У нас вы можете посмотреть бесплатно WAANDISHI WETU WA VITABU TANZANIA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Hawa ni baadhi ya waandishi wetu wa vitabu tanzania. Je, ni yupi anayekugusa au unamkubali zaidi katika waandishi wetu wa vitabu nyumbani Tanzania katika kazi zao ambaye wewe umesoma kazi zake? . Kuna mambo mengi ya kuzungumzia kuhusu umuhimu wa kusoma vitabu. Na tanzania tumebarikiwa sana kuwa na waandishi wazuri wa vitabu japo wengi hawafahamiki sana kutokana na utamaduni huu kuwa unawekwa sana kushoto na baadhi ya watu, pia waandishi wetu wengi hawapati kutangazwa vya kutosha na vyombo vyetu vya habari ukilinganisha na wasanii wa wasanaa nyingine ambazo huenda ndio zinachangia pia kubomoa maadili ya vijana wetu wengi. . Sasa leo nimeamua kukusanya baadhi ya vitabu vya waandishi wetu nilivyonavyo ili nikukumbushe kama utakuwa umewasahau na pia nikukumbushe kuwa-sapoti kwa kununua kazi zao leo hii, tafadhali sapoti waandishi wa nyumbani Tanzania . Kwa mwandishi ambaye wewe utampenda na kazi yake tafadhali nitumie ujumbe andika "JINA LA KITABU na JINA LA MWANDISHI" tuma ujumbe kwenda namba: 0759191076 Nitakutumia utaratibu wa kupatikana kwa kitabu chake mahali ulipo. Each One Teach One! Karibu sana. CHAPTERS: 00:00 Mwanzo 02:58 Wadhamini (Alrahmah Schools) 06:02 Elimu Ya Msingi Ya Fedha - Dr. Makirita Amani 06:29 Elimu Ya Msingi Ya Biashara - Dr. Makirita Amani 06:44 Epuka Utumwa Wa Kidigitali - Dr. Makirita Amani 07:25 Una Nguvu Ya Kutenda Miujiza - Dr. Makirita Amani 08:13 Maisha Ya Mafanikio - Dr. Makirita Amani 09:05 Kanuni 26 Za Mafanikio - Coach Bassanga 09:43 The Art Of Public Speaking - Rodrick Nabe 11:14 Neno Langu - Dina Marios 11:50 Mwanafunzi Wa Kiafrika - Justine Kakoko 12:35 Mfundishe Mtoto Wako Kuishi - Justine Kakoko 13:21 Mwongozo Wa Mafanikio - Lazaro Samuel 14:17 Safari Kufikia Shauku Yangu - Selina Condrad 15:09 Kitanda Cha Kuwadi - Maundu Mwingizi 15:35 Siku 30 Za Kukua - Ukundi Mlelwa 16:09 Vitabu vya Ernest Boniface Makulilo (EBM) 17:29 The Power Of Choice - Dr. George Adriano 18:07 Inflammable Mindset - Gilda Given 19:19 Why Not Today - Dr. George Adriano 20:02 Vitabu Vya Denis Mpagaze 20:58 Deni La Dhahabu - Gastor Mtweve 21:26 The Art Of Effective Public Speaking - Ejaz Bhalloo 21:54 Maadui 10 Wa Mwanamke - Petrida Karch 22:33 Hisa Fursa Ya Uwekezaji - Sylivester Herman 23:10 Wewe Ni Mteule - Abel Ngeleja 24:20 Mimi Na Rais - Lelo Mmassy 25:36 NOFO Books (Vitabu Vya Watoto) . LIKE - COMMENT - SUBSCRIBE - SHARE . WASILIANA NA EZDEN JUMANNE Voice-over Talent/ Content Entreprenuer Instagram: @ezdenjumanne Twitter: @ezdenjumanne Facebook: Ezden Jumanne Phone: (+255)759 191 076 Website: www.swahilivoiceovers.com . SUBSCRIBE Kwenye channel zetu nyingine: . HAMASA YA LEO👇🏽 / hamasayaleo . JE WAJUA?👇🏽 / @mediacraftstudiotz . VOICE-OVER CHANNEL👇🏽 / @learn2earnclass . VOICE-OVER WEBSITE 👇🏽 http://swahilivoiceover.com . KUJIUNGA GROUP LA VITABU: Pata faida za kwenye vitabu kila wiki. Jifunze kwa audio zenye quality nzuri. Kama huna muda wa kusoma "jiunge fasta" Tuma ujumbe huu "SPN BOOK CLUB" Kwenda whatsApp No. 0759 191 076 Ada ya group hili: 2,000 TZS kwa wiki. . KUPATA MATANGAZO: Kuweka tangazo lako kwenye channel hii. Unahitaji Voice-over (English & Swahili). SIMU: (+255) 759 191 076 EMAIL: [email protected] . SPONSOR'S DETAILS: AL-RAHMAH SCHOOLS Tunapatikana Mkuranga mkoa wa Pwani, Karibu na shule ya msingi Ngunguti, kilomita moja na nusu (1.5 Km) kutoka barabara ya Kilwa. Vilevile ni kilomita Sitini tu (60 Km) kutoka Dar-Es-Salaam. Bonyenza Link hii kuona location yetu katika Google Maps 👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽 https://maps.app.goo.gl/msnpyRnsBXYts... . ☎️ WASILIANA NASI 👉🏽 Al-Rahmah Pre & Primary School: 📞 +255 677 330 099 . 👉🏽 Al-Rahmah Secondary School: 📞 +255 677 990 033 . 👉🏽 Al-Rahmah Development Complex: 📞 +255 673 526 644 . Facebook: / alrahmahcomplextz Instagram: https://instagram.com/alrahmahschools... AL-RAHMAH SCHOOLS, "Always The Best" . #waandishi #vitabu #Tanzania