• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

Salama Na MwanaFA Ep 10 | KARAMA Part 2 скачать в хорошем качестве

Salama Na MwanaFA Ep 10 | KARAMA Part 2 5 лет назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Salama Na MwanaFA Ep 10 | KARAMA Part 2
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: Salama Na MwanaFA Ep 10 | KARAMA Part 2 в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно Salama Na MwanaFA Ep 10 | KARAMA Part 2 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон Salama Na MwanaFA Ep 10 | KARAMA Part 2 в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



Salama Na MwanaFA Ep 10 | KARAMA Part 2

#YAHStoneTown #SalamaNa #PodCast SUBSRIBE TO OUR CHANNEL https://bit.ly/YahStoneTownSubs Listen our Podcast on Spotify Link https://spoti.fi/2Uxr6Cm‬ ‪ApplePodcasts Link https://apple.co/2Ou1bru‬ ‪YouTube Link http://bit.ly/YoutubeSalamaNa Weekend mbili zilitopita rafiki yangu Mwinyi aka Mpwa aka Cousin aka Hamis alikua akiadhimisha siku ya kuzaliwa kwake na alikua amefiksha umri wa kustahili kusherehekea kwa kweli na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa maisha, mke wake kipenzi alinipigia simu siku nne kabla ya birthday ya mumewe na kutaka tujumuike nae kum suprise, pia akaniambia ana kazi sana ya kuweza kukamilisha hilo tukio maana jamaa (Mwana FA) kashasema yeye hana mango wa kutaka shughuli, angependa maisha yaendelee tu kama kawaida. Pengine alikua akitarajia dinner nyumbani na mkewe na wanawe basi. So kukawa na zoezi hapo la kuhakikisha jamaa hasomi mchongo na kwamba zoezi ni lazima lifanikiwe. Malika binti yeke kwa kwanza ndo alikua amiri jeshi mkuu wa kuhakikisha Baba anarudi nyumbani by saa mbili usiku ili ale na familia chakula cha usiku. Suala hili lilizidi kuwa tamu pale Malika alipofanikiwa kutimiza ombi lake kwa Baba na sisi wengine ikawa rahisi kuibuka nyumbani na kumaliza mchongo mzima. Ulikua usiku mzuri ambao umeandaliwa kwa mapenzi mengi, na kila kitu kilipangwa kwa uangalifu by saa nne unusu tunaimba kata keki tule 😃. Ila kitu unique kabisa kwenye sherehe hiyo ilikua ni vipande vya karatasi ambayo tuligaiwa, vilikua na namba na namba yako ikitajwa basi kuna swali ilikua unatakiwa kulijibu, ili kuonyesha ukaribu wetu, unataka kujua mimi nilipata swali gani? Ok, swali lilikua ni kama nakumbuka siku yangu ya kwanza kukutana na Mwana FA! Hiyo story itaendelea siku nyengine ila kwa sasa nikuambie tu mahusiano yangu na yeye Mwinyi. Tumekua pamoja naweza sema baada ya kukutana hapa mini Dar es Salaam mwanzoni mwa miaka ya 2000, sote tukiwa wembamba na watoto tu, ila bila ya shaka kila maja akiwa na nia na madhumuni ya kufika hapa tulipo na zaidi panapo majaaliwa, kuna smile flani ivi ambalo mpaka leo halijawahi kubadilika ndo ID yake pamoja na mwanya flani unaokamilisha muonekano wake, style za misuko ya nywele tofauti pia ilikua ikimtenganisha yeye na wanamuziki wengine, ila kikubwa zaidi ambacho kinamfanya yeye awe kasimama mbali na wenzake ni jinsi anavyoandika, anavyowasilisha na anavyowakuna pia washabiki wake ambao kila siku zinavyozidi kwenda wamekua wakiongezeka, nadhani ni baada ya kampa sikio la moja kwa moja ambako kumewafanya wamsikilize kwa umakini zaidi. Siku za hivi karibuni rafiki yangu aliibua mjadala kwenye mitandao ya kijamii zaidi Twitter baada ya kuamua kujiita yeye Shaaban Robert wa enzi zetu, kama ulikua hufahamu Shaaban Bin Robert alikua mi mshairi, muandishi wa vitabu na essay na pia inaaminika alikua moja kati ya wafikiri wazuri wa lugha ya Kiswahili kutoka Afrika ya Mashariki. Mwana FA ni mmoja kati wa washairi wazuri na mwenye style tamu pia ya kuwakilisha uandishi wake kwa miaka mingi sasa ya muziki huu wa kizazi kipya. Kama unadhani anastahili kujiweka ligi moja au hata nyumba moja na Shaaban Robert au pengine hana nafasi hiyo mimi sina cha kusema juu ya hilo, ila ninaloweza kusema ni kwamba rafiki yangu huyu ameonekana kukua mbele ya macho yangu kwa zaidi ya miaka kumi na tano sana, alianza kufanya kazi zake mapema tu kama solo artist na ngoma sake ya kwana tu ilikua HIT, Unaikumbuka INGEKUA VIPI? Kisha ikaja ECT, baadae kama Duo yeye na AY huku akiwa anaendelea kufanya solo projects na baada ya hapo ameendelea kusimama mwenyewe na kujiimarisha kila mara anapotupa nyimbo mpya, na kwa hilo basi niko hapa kwaajili ya kutoa heshima zangu kwake na kumtakia kila lenye kheri naye. P.S Mwana FA pia ni rafiki mzuri na Baba kipenzi kwa mabinti zake. Enjoy. Love, Salama. Soundtrack Yeah by @MarcoChali    • Marco Chali Feat One The Incredible & Msam...   Follow: Twitter:   / yahstonetown   Instagram:   / yahstonetown   Facebook:   / yahstonetown  

Comments
  • Salama Na Khadija Kopa Ep 9 | ALIYEPEWA KAPEWA Part 1 5 лет назад
    Salama Na Khadija Kopa Ep 9 | ALIYEPEWA KAPEWA Part 1
    Опубликовано: 5 лет назад
  • Salama Na MwanaFA Ep 10 | KARAMA Part 1 5 лет назад
    Salama Na MwanaFA Ep 10 | KARAMA Part 1
    Опубликовано: 5 лет назад
  • SALLAM SK : SAFARI YA MAISHA NA DIAMOND PLATNUMZ / UMILIKI WA RADIO/CHUKI /UWEZO WA KUFANYA KAZI 2 месяца назад
    SALLAM SK : SAFARI YA MAISHA NA DIAMOND PLATNUMZ / UMILIKI WA RADIO/CHUKI /UWEZO WA KUFANYA KAZI
    Опубликовано: 2 месяца назад
  • WEMA SEPETU, KAJALA, PAUL NA LULU DIVA WAMPA ZAWADI HII NANDY KWENYE KIBAO KATA 11 часов назад
    WEMA SEPETU, KAJALA, PAUL NA LULU DIVA WAMPA ZAWADI HII NANDY KWENYE KIBAO KATA
    Опубликовано: 11 часов назад
  • Mkasi - S02E04 with MwanaFA 13 лет назад
    Mkasi - S02E04 with MwanaFA
    Опубликовано: 13 лет назад
  • MZEE MASATU|HONGERA MTANI YANGA WAMEIFUNGA TIMU KUBWA |WAARABU WAKOME NA VAR ZAO ZIMEWAPONZA JANA😂 1 час назад
    MZEE MASATU|HONGERA MTANI YANGA WAMEIFUNGA TIMU KUBWA |WAARABU WAKOME NA VAR ZAO ZIMEWAPONZA JANA😂
    Опубликовано: 1 час назад
  • Story ya Baharia Evance Massawe aliyofanyiwa na Masoud Kipanya na CZA nchini South Africa 3 недели назад
    Story ya Baharia Evance Massawe aliyofanyiwa na Masoud Kipanya na CZA nchini South Africa
    Опубликовано: 3 недели назад
  • Муборакшо Мирзошоев  | MP3 | MUBORAKSHO 6 лет назад
    Муборакшо Мирзошоев | MP3 | MUBORAKSHO
    Опубликовано: 6 лет назад
  • JAY MOE ; AMEFUNGUKA KUHUSU KIFO CHA MANGWEAR | COUNTRY WIZZY NI MRITHI | MAMA ALINIACHA | P MAJANI 1 год назад
    JAY MOE ; AMEFUNGUKA KUHUSU KIFO CHA MANGWEAR | COUNTRY WIZZY NI MRITHI | MAMA ALINIACHA | P MAJANI
    Опубликовано: 1 год назад
  • GENZ WAMTEGEMEA HABIL AND KABIL KUWAKOMBOA TANZANIA 2 дня назад
    GENZ WAMTEGEMEA HABIL AND KABIL KUWAKOMBOA TANZANIA
    Опубликовано: 2 дня назад
  • Salama Na Baba Levo Ep 26 | ALL IN ALL Part 1 5 лет назад
    Salama Na Baba Levo Ep 26 | ALL IN ALL Part 1
    Опубликовано: 5 лет назад
  • Mkasi - SO5E03 With P Funk 12 лет назад
    Mkasi - SO5E03 With P Funk
    Опубликовано: 12 лет назад
  • Chumo (Swahili with English Subtitles) - 2011 12 лет назад
    Chumo (Swahili with English Subtitles) - 2011
    Опубликовано: 12 лет назад
  • Siavash Ghomayshi ZAMAN Mix ⚡️ آلبوم زمان - مجموعه ای از خاطره انگیز ترین آهنگهای سیاوش قمیشی 1 год назад
    Siavash Ghomayshi ZAMAN Mix ⚡️ آلبوم زمان - مجموعه ای از خاطره انگیز ترین آهنگهای سیاوش قمیشی
    Опубликовано: 1 год назад
  • WEMA ATAJA MWANAUME ALIYEMSUUZA MOYO KULIKO WOTE KABLA YA CHIBABA- MANARA HOUR PART 2  WEMA NA HAJI 2 года назад
    WEMA ATAJA MWANAUME ALIYEMSUUZA MOYO KULIKO WOTE KABLA YA CHIBABA- MANARA HOUR PART 2 WEMA NA HAJI
    Опубликовано: 2 года назад
  • ⚡️ Зеленский отдал срочный приказ || «Подарок» Путину 7 часов назад
    ⚡️ Зеленский отдал срочный приказ || «Подарок» Путину
    Опубликовано: 7 часов назад
  • MR T TOUCH : NINA WIMBO WA NAY WA MITEGO NA DIAMOND PLATNUMZ NDANI 1 год назад
    MR T TOUCH : NINA WIMBO WA NAY WA MITEGO NA DIAMOND PLATNUMZ NDANI
    Опубликовано: 1 год назад
  • Andy - Live at the Kodak Theatre | 2008 | 5 лет назад
    Andy - Live at the Kodak Theatre | 2008 |
    Опубликовано: 5 лет назад
  • TAHARUKI!! MFANYABIASHARA ARUSHA AKATWA UUME WAKE WOTE NA KUBAKIA KORODANI TU NA MKE WAKE USIKU..... 4 часа назад
    TAHARUKI!! MFANYABIASHARA ARUSHA AKATWA UUME WAKE WOTE NA KUBAKIA KORODANI TU NA MKE WAKE USIKU.....
    Опубликовано: 4 часа назад
  • MOEIN | GOLDEN HITS  | آهنگهای طلایی معین 3 года назад
    MOEIN | GOLDEN HITS | آهنگهای طلایی معین
    Опубликовано: 3 года назад

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5