У нас вы можете посмотреть бесплатно Ibada Ya Lunch Hour | 27- 02 - 2026 | Mt. Aaron Ulaya или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Karibu katika Ibada ya Mchana kutokea hapa kanisa Kuu Azania Front Posta Dar Es Salaam SOMO: KUSHUGHULIKIA MASHITAKA YA MAUTI UFUNUO 12: 7 - 10 9 Akaondoka huko, akaingia katika sinagogi lao. 10 Na tazama, yumo mtu mwenye mkono umepooza; wakamwuliza, wakisema, Ni halali kuponya watu siku ya sabato? Wapate kumshitaki. 11 Akawaambia, Ni mtu yupi miongoni mwenu mwenye kondoo mmoja, na yule kondoo ametumbukia shimoni siku ya sabato, asiyemshika akamwopoa? 12 Je! Mtu ni bora kuliko kondoo mara ngapi? Basi ni halali kutenda mema siku ya sabato. 13 Kisha akamwambia yule mtu, Nyosha mkono wako; akaunyosha, ukapona, ukawa mzima kama wa pili. ............. 👇👇👇 KWA MAOMBI NA USHAURI : ☎️ +255 748 290 290 MCH. VICTOR MAKUNDI ☎️ +255 713 307 610 MCH. JOSEPH MLAKI 📧 TUFUATILIE KWENYE MITANDAO KWA TAHARIFA ZAIDI: Instagram page: / kkkt_azaniafront_cathedral Website: https://www.azaniafront.org/ Facebook: / kkkt-azania-front-cathedral-101434162039079 Tiktok: / azaniafrontcathedral #azaniafrontcathedral #morningprayer #lutheran