У нас вы можете посмотреть бесплатно MZEE WA MILA WA MIAKA 90 ABOMOLEWA NYUMBA NA MUWEKEZAJI TARIME, FAMILIA YAKE YA TANGATANGA. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
✍️ Na Fredrizzo Samson - Mara Familia moja ya mzee wa kimila afahamikaye kwa jina la Chacha Wasinyo Changu, mwenye Umri wa miaka 90 Mkazi wa Kitongoji cha mirimisi kijiji cha Mrito wilayani Tarime mkoani Mara. Imelalamika na kupaza sauti kwa Serikali juu ya tukio la kuvunjiwa nyumba na mtu mmoja afahamikaye kwa jina la Samweli Ngocho, mkazi wa Kijiji cha Kerende, Tarime. Anayedaiwa ni muwekezaji ambaye ameingia kijijini hapo kwa lengo la kuendesha Shughuli za uchimbaji wa madini ya marumaru. Familia hiyo hiyo imemuomba mkuu wa wilaya ya Tarime Meja Edward Gowele kuingilia kati na kufuatilia tukio chanzo cha tukio hilo huku ikidai imepolwa haki yao bila kufuata utaratibu na makazi yao kuharibiwa vibaya, Nyumba kuvunjwa, mifugo kufukiwa na vyombo vya ndani kuharibiwa bila kuokoa kitu. Mzee Wasinyo ni mume wa wake watatu na Watoto zaidi ya 20 ambao wanadai wamekaa eneo hilo zaidi ya miaka 30. Jambo Tv imewapata viongozi Kijiji hicho ambao walikuwa eneo la tukio, mmoja wapo akiwa ni Mwenyekiti wa zamani wa Kijiji hicho pamoja na Mwenyekiti wa sasa ambao kwa pamoja wameongea na Jambo Tv na kusema ya kuwa Bw. Samweli Ngocho ameingia kijijini hapo kwa njia sa ulaghai na vibari vya kughushi kwani wao kama sehemu ya Uongozi wa kijiji hawamtambui. Hatujaishia hapo, mwisho wa kisa hiki Jambo Tv tumampata Ndugu Samweli Ngocho naye kwa upande wake ameeleza juu ya tukio hilo. #jambotv #live #askari #ccm #chadema #g55