У нас вы можете посмотреть бесплатно E HABARI MARCH 04 2026 /KUKAMILIKA KWA BANDARI YA NCHI KAVU ISAKA KUTACHOCHEA UKUAJI WA UCHUMI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kukamilika kwa ujenzi wa bandari ya nchi kavu inayojengwa katika Kata ya Isaka, Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga Region, kutachochea ukuaji wa uchumi wa taifa na kuinua kipato cha wananchi wa eneo hilo kutokana na kuongezeka kwa shughuli za kibiashara. Akizungumza baada ya kukagua maendeleo ya mradi huo katika ziara yake mkoani Shinyanga, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi, amesema uwekezaji huo ni wa kimkakati na wenye manufaa kwa kizazi cha sasa na kijacho, huku ukitarajiwa kuongeza ajira kwa vijana na kupanua wigo wa mapato ya Halmashauri na Taifa kwa ujumla.