У нас вы можете посмотреть бесплатно Mapya yaibuka, Zumaridi adai polisi walichukua Sh19 milioni chumbani или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Shahidi wa tisa utetezi katika kesi ya jinai namba 10/2022, Diana Bundala maarufu 'Mfalme Zumaridi' ameiambia Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mwanza kwamba wakati wa ukamataji askari wa polisi walichukua Sh19.5 milioni chumbani kwake. Mfalme Zumaridi ambaye ni mshtakiwa namba moja kati ya tisa wanaoshtakiwa katika kesi hiyo ameenda mbali kuwa askari hao walichukua kadi yake ya Chama cha Mapinduzi, hati tano za nyumba, kadi mbili za benki (Equity na CRDB), simu mbili aina ya Samsung na Infinix.