У нас вы можете посмотреть бесплатно "NILIPITIA MENGI…” 😭 SHEIKH ABDI JOHN AFUNGUKA KUHUSU UGONJWA WAKE BAADA YA MWAKA MMOJA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Baada ya mwaka mmoja wa majaribu mazito ya ugonjwa Sheikh Abdi John leo ametoa khutba ya kwanza inayogusa moyo akisimulia kwa mara ya kwanza safari yake ya maumivu matibabu na subira. Katika kipindi cha ugonjwa wake alilazimika kusafiri nje ya nchi kwa ajili ya matibabu maalum baada ya changamoto za huduma za kitabibu nchini. Ilikuwa ni safari ya majaribu uvumilivu na kumtegemea Allah. Katika khutba hii utasikia: • Maelezo ya hali alizopitia • Mafunzo ya subira na tawakkul • Ushuhuda wa neema ya Allah baada ya mitihani • Ujumbe mzito kwa Ummah Hii si khutba ya kawaida… Ni ushuhuda wa subira imani na rehema ya Allah. Tazama hadi mwisho ujifunze na ushiriki mawaidha haya yenye kugusa moyo. #SheikhAbdiJohn #Khutba #Mawaidha #Subira #Imani #Burundi #Islam#Ramadhan#Kishkitv#Alhajartv#Tanzania#Kenya