У нас вы можете посмотреть бесплатно RC CHALAMILA APENDEKEZA PARKING YA MAGARI YA JUU IJENGWE DAR или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
katika changamoto ya miundombinu ya barabara na parking za magari Jiji la dar es salaam Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila ametaka uanze mpango wa kujengwa parking za magari za ghorofa ilikupungumza msongamano holela katika jiji la Dar ameyasema hayo leo machi 6, 2026 jijini dar es salam katika kikao cha kamati ya ushauri ya Mkoa RCC iliyopitisha kiasi cha shilingi bilioni 992.6 ikiwa ni rasimu ys bajeti kwa ajili ya shughuli za miradi ya maendeleo ya jamii pamoja na mishahara ya watumishi wa mko huo kwa mwaka wa fedha 2026/2027 “tuanze kuwekeza pia kwenye parkingi za kwenda juu ambapo ukiwa na mapato ya kutoka ni rahisi kumwambia mtu hapa ume long park, ukiangalie ile kariakoo yote mpaka posta parking ni kama hatuna sasa magari yatakaa wapi leo parking ni tabu” RC Chalamila