У нас вы можете посмотреть бесплатно MTOTO WA DUDU BAYA: "Baba sio shoga, amewataja Watangazaji?" или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
LIVE: Mtoto wa Dudu Baya amzungumzia Baba Yake Kufuatia sakata la Mwanamuziki wa Hip Hop Bongo, Godfrey Tumaini 'Dudu Baya' , kuanika hadharani majina ya watangazaji wa kiume wanaojihusisha na vitendo vya ushoga. Global TV imemtafuta mtoto wa Mwanamuziki huyo anayeitwa Wille, ambaye ni Mwanamuziki wa Bongo Fleva, na amezungumzia ishu ya baba yake. Wille amesema anachoamini Baba yake kamwe hawezi kuwa shoga licha ya kwamba naye ametajwa mitandaoni, na kuhusu suala la kutaja watangazaji wanaojihusisha na vitendo hivyo , amesema si sawa kwa upande wa haki za binadamu. #DuduBaya #Ushoga Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz aceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho