У нас вы можете посмотреть бесплатно DC MPOGOLO AAGIZA JESHI LA POLISI KUWAKAMATA WATU WALIOFANYA MAUAJI BUYUNI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MKUU wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo ,ametoa agizo kwa Jeshi la Polisi kupitia Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, ACP Yustino Mgonja kutumia utaalamu na timu yake kuwakamata mara moja kundi la watu waliofanya mauhaji ya mwananchi Mzee Salehe Idd Salehe, nyumbani kwake Mtaa wa Zavala Kata ya Buyuni Mkoani Dar es salaam. Mpogolo alisema Mzee Salehe katika Maisha yake amekuwa Mzalendo wa kweli kwa kupigania maeneo ya Wazi ya Serikali mfano Shule, Masoko na Vituo vya Afya yasichukuliwe na genge la Wahalifu wanaouza maeneo hayo ya wazi ya Viwanja vilivyopimwa na Serikali katika Programu ya Viwanja Elfu 20 Kata ya Buyuni kati ya miaka ya 2003/2005. Mkuu wa Wilaya ametoa agizo hilo kwenye Mkutano wa Wanachi Zavala mara baada kupata taarifa za mauhaji ya kifo cha unyama alichofanyiwa Mzee Salehe Idd Salehe hivi karibuni nyumbani kwake majira ya Alfajiri na kundi la watu wahalifu. ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: [email protected] ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx