У нас вы можете посмотреть бесплатно Viongozi wa Kiislamu washtumu mapigano Tana River или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Baadhi ya viongozi wa Kiislamu wamelaani mapigano yanayoendelea katika kaunti ya Tana River wakisema ukatili huo haufai kuruhusiwa kutokea humu nchini. Wakizungumza katika mtaa wa Nairobi West wakati wa sherehe za kila mwaka za Maulid, viongozi hao walisema iwapo wale walio na mamlaka wangetia bidii zaidi katika kuhakikisha suluhu kwa mzozo huo inapatikana, vifo ambavyo vimetokea katika eneo hilo vingeweza kuepukika. Mapigano hayo yamesababisha vifo vya watu wasiopungua 18 na mamia ya familia kuhama katika eneo hilo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: / kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive