У нас вы можете посмотреть бесплатно MAMBA TISHIO UKEREWE MWANZA | MWILI WA MWANAFUNZI WAHOFIWA KULIWA NA MAMBA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mwili wa Mwanafunzi wa Kidato cha Tatu katika Shule ya Sekondari Cornel Maghembe kata ya Kagunguli Unaendelea kutafutwa baada ya Kukamatwa na Mamba Jumatatu ya Machi 2 mwaka 2026. Huku wakazi wa ukerewe wakiiomba serikali kuchukua hatua za haraka katika kuthibiti wanyama wakali ambao ni Mamba na viboko, Wanaoendelea kuwa tishio baadhi ya maeneo ya ziwa Victoria, huku vifo vingine vinne kutoka kata ya Ngoma vikitajwa. Taarifa ya vifo hivyo imeibuliwa na baadhi ya Madiwani wa Halmashauri ya Ukerewe Katika kikao cha baraza la Madiwani cha robo ya pili Oktoba-Disemba 2025/26 #votupdates