У нас вы можете посмотреть бесплатно UKWELI WOTE ALIYEJINYONGA KWA KUKOSA NAULI KWENDA UKWENI, MKEWE ALIVYOFICHUA YOTE... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
UKWELI WOTE ALIYEJINYONGA KWA KUKOSA NAULI KWENDA UKWENI, MKEWE ALIVYOFICHUA YOTE... Kijana mwenye umri wa miaka 20 aliyefahamika kwa jina la Wilison Bahati mkazi wa kijiji cha Kashelo wilaya ya Mbongwe mkoani Geita amejinyonga hadi kufariki dunia kwa madai ya kukosa nauli ya kumpa mke wake ili asafiri kwaajili ya kuudhuria mazishi ya ndugu yake. Nimesafiri umbali wa zaidi ya Kilometa 100 kutoka Geita mjini hadi katika kijiji cha Kashelo wilayani Mbogwe hapa mkoani Geita kwa madhumuni ya kuongea na familia ya marehemu na hapa nafanikiwa kuongea na familia ya marehemu juu ya tukio hilo. “Mme wangu alijinyonga kwasababu alikoswa hela ya kwenda msibani nyumbani kwetu ilikuwa saa kumi na moja asubuhi aliniacha nimelala akavaa nguo akasema naenda shambani ndo tukamkuta sasa ameshajinyonga tulikaa pamoja nyumbani tukazungumza lakini alisema hela amekosa sasa sijui alipata uzuni ndo akachukua uamuzi wa kujinyonga”GRACE JEREMIA Mke wa marehemu CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii! ======================== Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰 ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx