У нас вы можете посмотреть бесплатно MAGARI YA GESI RUHSA!/ SERIKALI YAKUBALI KUSHAURIWA/ WANAOTUMIA MAFUTA KUJITAFAKARI/ NISHATI MBADALA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, imeishauri Serikali kuagiza magari yenye mfumo wa gesi ambao una gharama nafuu, hali itakayosaidia kupunguza gharama za mafuta kutokana na uwepo wa Gesi Nchini. Ushauri huo, umetolewa hii leo Machi 15, 2024 na Mwenyekiti wa kamati hiyo, David Mathayo wakati wa ziara ya kutembelea vituo viwili vya kuzalisha gesi vya Master gas na Taqa Dalbit vilivyopo jijini Dar es salaam. “Tunaishauri Serikali iangalie uwezekano wa magari yake kutumia mfumo wa Gesi, hii itapunguza gharama za mafuta inazotumia na rasilimali ya gesi tunayo ni yetu.” -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: [email protected] ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #gas #daressalaam #samiasuluhu