У нас вы можете посмотреть бесплатно Siri 7 za Saikolojia ya Maamuzi Magumu (Epuka Makosa Makubwa ya Maisha na Pesa) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Je, umewahi kufanya maamuzi halafu baadaye ukajuta? Video hii inakupa siri 7 za kisaikolojia na kiuchumi za kufanya maamuzi sahihi, zinazotumiwa na watu waliofanikiwa duniani. Utajifunza mbinu kama HALT Rule, 10/10/10 Rule, Sunk Cost Fallacy, Paradox of Choice, Hell Yeah Rule, Second Opinion na Coin Flip Psychology. Utajifunza: Jinsi ya kufanya maamuzi magumu bila hofu Saikolojia ya decision making Makosa makubwa ya maamuzi ya pesa na mahusiano Mbinu za kufikiri kama watu waliofanikiwa Jinsi ya kuondoa decision fatigue Video hii ni muhimu kwa: ✔ Wanaotaka kuboresha mindset ✔ Wanaofanya maamuzi ya biashara ✔ Wanaopitia maisha ya kuchagua career au mahusiano ✔ Wanaotaka financial discipline Andika kwenye comments: "Nitafanya Maamuzi Bora" kama umefika mwisho. SUBSCRIBE kwa maudhui ya Saikolojia, Maisha, Mafanikio na Mindset. #MaamuziSahihi #PsychologySwahili #MindsetYaMafanikio #DecisionMaking #SelfDevelopmentSwahili #FinancialWisdom #LifeChoices