У нас вы можете посмотреть бесплатно DKT. MWIGULU AAGIZA MKANDARASI WA BWAWA BONDE LA ZIWA EYASI ASAKWE, AKAMATWE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameagiza kuzuiwa kwa Hati ya Kusafiria ya mkandarasi wa kampuni ya (Tunnel Sadd Ariana Company) Ariana Co, baada ya kushindwa kutekeleza ujenzi wa Bwawa la Eyasi lililopo Wilaya ya Karatu, Mkoa wa Arusha. Dkt. Mwigulu amesema mkandarasi huyo tayari alipokea malipo ya awali ya shilingi bilioni 3 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi huo, lakini alishindwa kufanya hivyo. Amesisitiza kuwa Serikali haitamvumilia mkandarasi yeyote anayeshindwa kutekeleza wajibu wake baada ya kupokea fedha za umma, na kwamba hatua kali za kisheria zitachukuliwa ili kulinda rasilimali za Serikali na kuhakikisha miradi ya maendeleo inatekelezwa kwa wakati. Kindai Plus ni television ya mtandaoni inayotoa maudhui ya habari,michezo,burudani,siasa na matukio ya kijamii yanayojili duniani USISAHAU KUSUBSCRIBE CHANNEL YETU.