У нас вы можете посмотреть бесплатно Alilipa Deni zangu | Swahili Worship Songs | Pendo Kuu | Mamajusi Choir | Non Stop Swahili Worship или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Song: Pendo Kuu Artist: Mamajusi Choir Song Lyrics: Verse 1 Pendo kuu la Yesu lilitosha Kalvari Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari Alinipenda Yesu Akaingia gharama Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari Chorus: Alilipa deni zangu, kwa gharama ya mauti Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari Alilipa deni zangu, kwa gharama ya mauti Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari Verse 2 Yesu Atuchunga, Mchunga Wetu Naye Atufuta machozi yetu Mkononi Mwake hatuna hofu Daima twapata kwake wokovu Chorus: Alilipa deni zangu, kwa gharama ya mauti Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari Alilipa deni zangu, kwa gharama ya mauti Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari Verse 3 Namtolea Yesu Nampa moyo wote Ntampenda Yesu namwandama kila saa Chini ya msalaba nataka simama Ndiye mwamba safarini Kwa kivuli chema Chorus: Alilipa deni zangu, kwa gharama ya mauti Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari Alilipa deni zangu, kwa gharama ya mauti Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari Verse 4 Nataka nifahamu nizidi kupambanua Mapenzi Yake nifanye yanayompendeza Nataka nikae naye kwa mazungumzo Nizidi kuwaonyesha wengine wokovu Wake Chorus: Alilipa deni zangu, kwa gharama ya mauti Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari Alilipa deni zangu, kwa gharama ya mauti Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari